728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, July 18, 2016

  UTT - PID YASHIRIKI MKUTANO WA WATAALAMU WA MIPANGO MIJI KAMA MOJA YA WADAU WAKUU

   Afisa Masoko wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya  Miundombinu (UTT-PID, Bi. Kilave Atenaka akiwa na mmoja wa washiriki kwenye banda la (UTT-PID ndani ya kumbi ya mikutano ya BOT. Mkutano huo uliofunguliwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendelo ya Makazi Dr. Yamungu Kayandabila ndani ya kumbi ya mikutano ya BOT. Msisitizo wa swala la Bodi ya Mipango Miji kuweka mipango ya matumizi bora ya Ardhi kwa Maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla.

  Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Akipata melezo toka kwa moja wa maofisa wa Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) juu ya miradi mbali mbali ya Taasisi yake.
   Wateja wakipata maelezo juu Miradi mbalimbali ya ujenzi na Miundombinu inayotekelezwa na Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) maeneo mbalimbali  nchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UTT - PID YASHIRIKI MKUTANO WA WATAALAMU WA MIPANGO MIJI KAMA MOJA YA WADAU WAKUU Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top