JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Matukio katika picha ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kwenye Banda la VETA Nane Nane, Dodoma

Share This

 

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, akipata maelezo kuhusu ubunifu wa ubunifu wa Samani za Majumbani  katika banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) alipolitembelea wakati wa Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya Dkt. John Samwel Malecela, Nzuguni, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, akipata maelezo kuhusu ubunifu wa zana za kilimo za mashine za Kilimo pamoja na  Ufugaji katika banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) alipolitembelea wakati wa Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya Dkt. John Samwel Malecela, Nzuguni, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, akipata maelezo kuhusu ubunifu wa mashine ya kuchanganya chakula cha mifugo  katika banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) alipolitembelea wakati wa Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya Dkt. John Samwel Malecela, Nzuguni, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, akiingalia Asali katika  banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) alipolitembelea wakati wa Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya Dkt. John Samwel Malecela, Nzuguni, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad