
MECHI za ligi mbalimbali zitaendelea huku zikiwa na ODDS KUBWA pale Meridianbet. Hii ni nafasi ya wewe mteja wa Meridianbet kuongeza kipato chako kwani tayari kuna machaguo yote uyapendayo hapa.
Ligi kuu ya Uingereza, EPL kutakuwa na mitanange Arsenal atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Leeds United ambapo mara ya mwisho kukutana, The Gunners aliondoka na ushindi mnono. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi akiwa nyumbani?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Chelsea vs West Ham United ambao wanashika nafasi ya 18 huku The Blues wao wakiwa nafasi ya 5 hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 17. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kusogea mbele kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA leo. Tandika jamvi lako hapa.
Vijana wa Arne Slot, Liverpool wao watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Newcastle United ambapo mara ya mwisho kukutana, vijana wa Howe waliondoka na ushindi. Bingwa mtetezi anahitaji ushindi kwenye mechi hii ili aweze kusogea juu kwnye msimamo wa ligi. Jisajili hapa.
Tengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
LALIGA kule Hispania nayo kama kawaida Osasuna atakipiga dhidi ya Villarreal ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 16 huku mechi ya mwisho kukutana Nyambizi wa Njano waliondoka na ushindi. Je mwenyeji anaweza kulipa kisasi siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.
Huku vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid watamenyana dhidi ya Levante ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 19 kutoka mwisho kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wanampa nafasi ya kubwa ya kushinda Simeone na vijana wake. Je wewe unampa nani nafasi ya ushindi?. Suka jamvi hapa.
Nao vinara wa ligi, FC Barcelona atakuwa ugenini dhidi ya Elche ambao ni moja ya timu ambazo ni ngumu sana kwenye ligi hiyo. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 10 huku bingwa mtetezi yeye akitaka ushindi huu azidi kukaa kileleni. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Bashiri hapa.
Vilevile kule SERIE A napo kama kawaida kutakuwa na mitanange ya kukata na shoka Pisa atamenyana dhidi ya Sassuolo ambapo hawa wote wamepanda daraja msimu huu. Tofauti za pointi kati yao hadi sasa ni 12 ambapo mwenyeji ndio kibonde wa ligi hadi sasa. ODDS KUBWA zipo hapa. Beti sasa.
Napoli uso kwa uso dhidi ya ACF Fiorentina ambao kwasasa wanashika nafasi ya 18 huku vijana wa Conte wakiwa nafasi ya 3. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, mwenyeji aliondoka na ushindi, lakini pi aikumbukwe kuwa ushindi huu ni muhimu sana kwa mwenyeji ili kujiweka sawa na mbio za ubingwa. Jisajili sasa.
Pia Cagliari atamenyana dhidi ya Hellas Verona ambao wapo nafasi ya 19 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 12. Mechi ya mwisho kukutana kwenye ligi walitoka sare huku leo hii kila timu ikitaka kuondoka na pointi 3. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.


No comments:
Post a Comment