JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Nani Kukupatia Pesa Leo?

Share This

 


MICHUANO za Europa League itaendelea kwa mechi nyingi zenye ODDS KUBWA pale Meridianbet. Hii ni nafasi ya wewe mteja wa Meridianbet kuongeza kipato chako kwani tayari kuna machaguo yote uyapendayo hapa.

Aston Villa atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Salzburg ambao mpaka sasa kwenye mechi 7 walizocheza wana pointi 6 pekee. Villa chini ya Unai hadi sasa wapo nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 18. Meridianbet wanampa mwneyeji nafasi kubwa ya kushinda leo. Wewe unampa nani beti yako?. Jisajili hapa.

Kwa upande wa FC Basel atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Viktoria Plzen ambao wapo nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafsi ya 27. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 5 pekee huku mechi hii ikipewa ODDS KUBWA pale Meridianbet. Bashiri hapa.

Baada ya kutoa sare mechi iliyopita, leo hii FC Porto atakiwasha dhidi ya Rangers ambao wapo nafasi ya 31 na pointi zake 4 kwenye mechi 7 alizocheza, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 9 na pointi zao 14. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. Tandika jamvi hapa.

Pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Nao Genk watakuwa kibaruani dhidi ya Malmo ambao wanashika nafasi ya 2 kutoka mwisho kwenye msimamo wa Europa wakiwa na pointi 1 pekee kwenye mechi 7. Mara ya mwisho kukutana kati ya hawa wawili walitoa sare. Leo kila mtu anahitaji pointi 3, je siku ya leo nani kuibuka mbabe?. Jisajili hapa.

Kule Ufaransa Lille atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Freiburg ya Ujerumani ambapo tofauti yao ni pointi 8 pekee. Meridianbet wanakwmabia kuwa unaweza ukapiga pesa kwa kubashiri mtanange huu wa leo. Unangoja nini sasa?. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti leo.

Mechi nyingine ya kubeti ni hii ya Lyon vs PAOK ambapo pointi 6 ndioz ambazo zinawatofautisha. Mwenyeji yeye yupo juu kwenye msimamo wa ligi huku mgeni yeye akishika nafasi ya 12. Takwimu zinasema kuwa hii ndio mara ya kwanza hawa wawili kukutana. Je nani kushinda leo?. Suka jamvi hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad