JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Tabasamu la Utu: Rais Samia Acheza Ngoma za Asili na Wanafunzi wa Kisutu

Share This

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza pamoja na kikundi cha ngoma za asili cha Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kisutu mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), tarehe 29 Januari, 2026.



 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad