JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


JIPIGIE PESA NA MERIDIANBET LEO HII

Share This

 


KAMPUNI kubwa ya ubashiri Tanzania inakwambia hivi huu ndio muda wa kupiga mkwanja na Meridianbet kuna mechi za makombe mbalimbali zinazochezwa hivyo ingia www.meridianbet.co.tz.

Mechi kali hapo kesho ni hii ya FA CUP kati ya bingwa mtetezi wa ligi Manchester City dhidi ya Manchester United ambao wanahitaji kushinda ili wacheze EUROPA LEAGUE msimu ujao. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Pep Guardiola na vijana wake kwa ODDS 1.29 kwa 7.64. Nani kushinda leo?. Beti hapa.

Bashiri na meridianbet ligi mbalimbali zinazoendelea, huku ukicheza michezo michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

LALIGA nayo inaendea ukingoni, saa 9:00 jioni Osasuna baada ya kumfumua Villarreal ambaye alitoa sare mechi yake iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 huku mgeni akiwa nafasi ya 8 ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 8. Mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana, Nyambizi alishinda. Je mwenyeji atalipa kisasi kesho? Jisajili hapa sasa.

Pia Real Sociedad baada ya kushinda mechi yake iliyopita, ataumana dhidi ya Atletico Madrid ambaye alipoteza mechi kwa kipigo kizito kwake. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Reale Arena ambapo Sociedad ndiye amepewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwa ODDS ya 1.32 kwa 7.44. Ingia Meridianbet na ubeti muda huu.

Bingwa mtetezi Real Madrid atakuwa Santiago Bernabeu kukipiga dhidi ya Real Betis majira ya saa 4:00 usiku. Ancelloti na vijana wake wametoka kutoa sare mchezo uliopita wakati Betis yeye amepoteza. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Tengeneza jamvi hapa.

Ligi kuu ya Italia SERIE A nayo iko mbioni kumalizika ambapo wikendi hii kutakuwa na michezo ya kukata na shoka, hapo kesho sasa majira ya saa 1:00 usiku Juventus atakuwa mwenyeji wa Monza baada ya kutoa sare mchezo uliopita. Juve ni wa 4 huku mgeni akiwa nafasi ya 12, ambapo 1.32 na 8.23 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi sasa na Meridianbet.

Mechi kali nyingine ni ya vijana wa Pioli AC Milan dhidi ya US Salernitana ambao ndio vibonde wa ligi mpaka sasa. Mechi ya kwanza walipokutana, walitoshana nguvu. Huku kwa upande wa Meridianbet wao wamempa nafasi kubwa ya kushinda Milan akiwa na ODDS 1.16 kwa 12.74. Ingia na ubashiri sasa.

Fainali ya DFB POKAL nayo itapigwa majira ya saa 3:00 usiku ambapo Bayer Leverkusen baada ya kupoteza fainali ya EUROPA atataka ushindi dhidi ya Kaiserslautern ambaye anashiriki Bundesliga 2 na yupo nafasi ya 13 hadi sasa. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Beti sasa.

Vilevile pale Ufaransa kutakuwa na fainali ya COUPE DE FRANCE ambapo hii itakuwatanisha kati ya mabingwa wa ligi PSG dhidi ya Olympique Lyon majira ya saa 4:00 usiku. Mechi ya kwanza kwenye ligi walipokutana Paris alishinda. Je leo hii Lyon atalipa kisasi kwa kuchukua kombe hili?. Bashiri mechi hii.

Kesho hiyo kutakuwa na mechi kubwa barani Afrika mabyo ni Fainali ya pili ya CAF na mwenyeji atakuwa Al Ahly kutoka Misri dhidi ya Esperance Sportive De Tunis saa 2:00 usiku. Ikumbukwe kuwa Ahly anafukuzia kombe hili kwa mara ya 12 na ndnai ya meridianbet anapewa nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.66 kwa 5.09. Jisajili sasa.

Kule Scotland pia kuna Kombe linawaniwa kati ya Celtic dhidi ya Rangers mabapo timu hizi kwenye ligi zinafatana yani mwenyeji yupo nafasi ya 1 na mgeni wake nafasi ya 2. Mechi ya mwisho kwenye ligi walipokutana, walitoshana nguvu. Celtic kushinda ana ODDS 1.85 na Rangers ana 3.82. Beti sasa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad