Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo akipata maelezo kutoka wa Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA)Zawadi Msalla wakati Naibu Katibu Mkuu alipotembelea banda la PPRA kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa PPRA Zawadi Msalla akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda alipotembelea la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa NDC Nicolaus shombe (Mwenye suti nyeusi) akipata maelezo kutoka wa Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA)Zawadi Msalla wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Jenifa Omolo akisaini ktabu cha PPRA wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.kulia ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa PPRA Zawadi Msalla.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja wa Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA)Zawadi Msalla na baadhi ya wafanyakazi kwakati Naibu Katibu Mkuu alipotembelea banda la PPRA kwenye maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment