JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015

Share This
Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar Masandiko akimuonesha Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Bi Suma Mwakyusa, ubunifu wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote wakati afisa huyo alipotembelea banda la VETA katika maonesho hayo. 
Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko  wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.
Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad