JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Diwani Urio akabidhiwa hati ya uteule kata ya Kunduchi.

Share This
Msimizi Msaidizi wa uchaguzi kata ya Kunduchi, Ramadhani Masenza akimkabidhi hati ya utambulisho Diwani Mteule wa kata hiyo kwa tiketi ya CCM, Michael Urio wakati wa hafla ya utambulisho na makabidhiasno iliyofanyika Dar es Salam jana.
 Diwani Mteule wa Kata ya Kunduchi kwa tiketi ya CCM Michael Urio akiwapungia wafuasi wa chama hicho mara baada ya kukabidhiwa hati ya Utambulisho kutoka kwa ofisi ya Mtendaji kunduchi Dar es Salaam jana.
Picha na Mpiga picha wetu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad