JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 29, 2015.

Share This


SIMUtv: Mwenyekiti wa ZEC Jecha Sakim Jecha jana ametangaza kufuta Matokeo ya Uchaguzi visiwani Zanzibar kutokana na kasoro Lukuki. https://youtu.be/2YWBj1NboRA
SIMUtv: Chama Cha Mapinduzi CCM kimekusudia kwenda mahakamani  kupinga matokeo ya uchaguzi ya majimbo 4 ya Ndanda, Iringa mjini, kawe na Mikumi. https://youtu.be/WPEDVwm7ckE
SIMUtv: Baadhi ya wachambuzi wa Masuala ya kisiasa wamesema ufutaji wa Matokeo Zanzibar utatoa fursa kwa Wananchi kuendelea na Majukumu yao. https://youtu.be/-H8umF9i3SI
SIMUtv: Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC leo inatarajia kukamilisha kutangaza matokeo ya kura za Uraisi wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania. https://youtu.be/XbfizVTZFvA

SIMUtv: Kutana na mchambuzi wa maswala ya siasa akielezea mwenendo wa uchaguzi  mkuu uliofanyika hivi karibuni;https://youtu.be/Krbe5eu87VA
SIMUtv: Fuatilia namna wataalam wa siasa wakichambua muenendo wa siasa na wanasiasa katika mjadala wa leo hapa Simu.tv; https://youtu.be/_NqzuwTv1cc

SIMUtv: Je waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka nje na ndani ya nchi wana mchango gani katika uchaguzi mkuu? Fuatilia mjadala hapa. https://youtu.be/y0oGcVZzs2k
SIMUtv: Wananchi wamekuwa na maoni tofauti tofauti juu ya kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar na tume ya uchaguzi ZEC; https://youtu.be/avllJRMlUAk

SIMUtv: Shirikisho la mpira wa miguu duniani(FIFA) limetaja majina saba watakaowania kiti cha uraisi, afrika wakijitokeza wawili; https://youtu.be/Hws7xP8abuI

SIMUtv: Ligi kuu Tanzania bara, Yanga ya banwa mbavu, Toto African yaibuka kidedea katika uwanja wake wa nyumbani;  https://youtu.be/gsbqcekHgbk


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad