Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wan ne kutoka kushoto), akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa maonyesho ya siku ya bahari duniani, yanayoadhimishwa kitaifa mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu katika viwanja vya Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Mkoani Mtwara.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (mwenye nguo ya kitenge), akiangalia meli iliyojengwa kwa kiwango, katika banda la Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), leo mchana mkoani Mtwara wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya wiki ya bahari duniani yanayoadhimishwa kitaifa mkoani huo.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego akimisikiliza, Meneja Bandari na huduma za Meli, kutoka Mamlaka ya Usafiri baharini Zanzibar(ZMA), Othman Said, akimweleza namna Mamlaka inavyofanya kazi hasa katika masuala ya Bahari,wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya siku ya bahari duniani,yanayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku mbili.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, akimsikiliza Meneja Utekelezaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA), Joseph Msaki,wakati akitoa maelezo ya namna mamlaka inavyofanya kazi wakati wa wa ufunguzi wa Maonyesho ya siku ya bahari duniani ,yanayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, akimsikiliza Meneja wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Kanda ya Kusini, Daudi Amoasi, wakati akitoa maelezo ya namna mamlaka ya hali ya hewa inavyofanya kazi wakati wa wa ufunguzi wa Maonyesho ya siku ya bahari duniani , yanayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego,akimsikiliza Meneja Mipango wa Shirika la Bandari Zanzibar (ZBC), wakati akitoa maelezo ya namna shirika hilo linavyofanya kazi wakati wa wa ufunguzi wa Maonyesho ya siku ya bahari duniani ,yanayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wa kwanza kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Navigation kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania, Meja Joseph Mjema ,wakati akitoa maelezo ya namna ramani zinavyotumika kwa watumiaji wa baharini wakati wa wa ufunguzi wa Maonyesho ya siku ya bahari duniani ,yanayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, akiongea na washiriki wa maonyesho na wananchi leo mchana wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya siku ya bahari duniani, yanayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu.
(Habari picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi)
No comments:
Post a Comment