jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

KWETU HOUSE- WASHIRIKI 6 KUYAAGA MASHINDANO USIKU HUU USIKOSE KUANGALIA KWETU HOUSE AZAM TV (TWO) SAA TATU NA NUSU USIKU

Share This
Msimu wa Pili wa Kwetu House Unaendelea washiriki wanaendelea kuchuana vikali ndani ya Nyumba, Vipajivinaonekana na Ushabiki wa Soka wanaonekana pia. Kama unakumbuka Washiriki waliobahatika kuingia kwenye Nyumba walikuwa 30 baada ya Bootcamp kumalizika na Baada ya hapo Washiriki wameendelea kuyaaga mashindano haya kwa msimu huu wa pili na Wiki hii washiriki 18 ndio wamebaki kwenye Nyumba lakini 6 kati ya hao 18 watayaaga mashindano usiku huu. 
Kocha ananafasi ya kumuokoa Mshiriki Moja kurudi kwenye Nyumba na kuendelea na Mshindano, Je Wiki hii Kocha atamuokoa nani kati ya washiriki 6 walioaga mashindano… Usikose Kuangalia Azam TV Jumamosi na Jumapili Saa Tatu na Nusu usiku.

Kumpigia Kura Mshiriki unaependa  ANDIKA KH(namba ya Ushiriki) TUMA KWENDA 15522

Unaweza Kutufuatilia kupitia Facebook/Instagram/Twitter na Kwenye Youtube Channel
KWETU HOUSE on Social Media
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad