JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MERIDIANBET YATOA MSAADA KWA JAMII YA WATU WENYE UALBINO

Share This

 


KAMPUNI bingwa kabisa katika masuala ya ubashiri ya Meridianbet leo imefika katika eneo la Kibaha na kufanikiwa kutoa msaada kama ilivyo kawaida yao.

Meridianbet leo wamefanikiwa kuwafikia jamii yenye ulemavu wa ngozi katika eneo la Kibaha na kufanikiwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali ambavyo vitawasaidia katika hali yao ambayo inawakabili.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefanikiwa kutoa mafuta (Lotion) maalumu ambayo hutumika na watu wenye Ualbino ili kuzuia ngozi zao kupigwa na jua lakini pia zinaacha ngozi ikiwa katika muonekano mzuri, Meridianbet pia walihakikisha wanatoa msaada wa mahitaji ya nyumbani katika familia duni zinazopatikana eneo hilo.

Suka mkeka wako kwenye mchezo huu mkali wa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya pamoja na michezo mingine itakayopigwa wikiendi hii. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kaimu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka kampuni ya Meridianbet bwana Abubakar Kulindwa alipata nafasi ya kuzungumza kwa niaba ya taasisi na kusema “Nina furaha kubwa kuwepo mahala hapo leo kutimiza hili ambalo tumelifanya leo la kurudisha kwenye jamii yetu kidogo tulichonacho, Lakini pia nipende kutoa shukrani kwa ukaribisho mzuri tuliopata kutoka kwa wakazi wa Kibaha”

Wakazi wa eneo hilo nao walipata nafasi ya kuzungumza ambapo wameonesha kutoa shukrani zao kwa kampuni ya Meridianbet kwa kuwakumbuka na kutoa witu kwa makampuni mengine kuiga mfano kwa mabingwa hao wa michezo ya kubashiri

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad