JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


ANZA APRILI YAKO NA MKWANJA NDANI YA MERIDIANBET

Share This

 

IKIWA leo hii ni siku nyingine na mwezi mpya yani mwezi April meridianbet wababe wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa una nafasi yako za kujipigia mkwanja wa maana endapo utabeti nao mechi za leo.

Leo hii kuna ligi mbalimbali Duniani zinaendelea lakini, mechi kali sana za kukupatia pesa zipo kule Italia na Hispania ambapo leo hii LALIGA kutakuwa na mchezo mmoja Villarreal atakiwasha dhidi za Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao wamepoteza mchezo wao uliopita.

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 4:00 usiku ambapo meridianbet wamempa Atletico nafasi kubwa ya kushinda mechi hii wakiwa na ODDS 2.20 kwa 2.99, huku tofauti za pointi kati yao ni 15. Mara za mwisho Simeone na vijana wake walishinda. Je leo hii wanaweza kushindwa?. Beti mechi hii sasa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Ligi kuu ya Italia SERIE A, kutakuwa na mechi za kukata na shoka kabisa Cagliari atakiwasha dhidi ya Hellas Verona katika dimba la Unipol Domus majira ya saa 10:00 jioni na timu hizo zinafatana kwenye msimamo wa ligi yani mmoja wa 15 na mwingine wa 16.

Mara ya mwisho walipokutana, Verona alishinda. Je leo hii kwa ODDS hii za 3,52 KWA 2.16 anaweza kuendeleza ubabe. Suka jamvi lako sasa na meridianbet.

Mechi nyingine kali ni hii inayowakutanisha kati ya Sassuolo Calcio dhidi ya Udinese Calcio huku timu zote zikiwa zinahitaji pointi tatu za maana baada ya kupoteza mechi zao zilizopita. Mechi ya mwisho walipoonana walitoshana nguvu. Mechi hii imepewa ODDS ya 2.84 kwa 2.50. Jisajili hapa.

Saa 1:00 usiku naye Lecce atamualika AS Roma ambaye anashikilia nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi yeye akiwa nafasi ya 13. Meridianbet wamempa mwenyeji 4.21 kushinda mechi hii kwa 1.89. Timu zote zimeshinda mechi zao zilizopita. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3?. Tengeneza mkeka wako hapa sasa.



Mechi ya mwisho pale Italia ni hii ya vinara wa ligi Inter Milano chini ya Inzagi ambao watakuwa Giuseppe Meazza kusaka pointi tatu za kujiimarisha kileleni dhidi ya Empoli ambao wapo nafasi ya 17 kwenye ligi. Inter amepewa ODDS 1.18 kushinda mechi hii kwa 13.72. Je Milan atashinda mechi hii?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad