JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Vodacom Tanzania Plc yaibuka kinara tuzo za NBAA kwa uandaaji bora wa taarifa za Fedha, Mwaka 2020

Share This

  

Mhasibu Mkuu wa Serikali, Leonard Mkude akimkabidhi  Mkurugenzi wa Fedha (ajaye) wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Hilda Bujiku  tuzo ya mshindi wa kwanza kwa  uandaaji bora wa taarifa za Fedha kwa Mwaka 2020 (Best Presented Financial Statement for the Year 2020 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA). Kushoto kwa Hilda ni mkuu wa mipango na uwekezaji Albert Maneno.


 

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad