728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, August 10, 2017

  WATANZANIA WAKARIBISHWA KUSHIRIKI MCHEZO WA KUBAHATISHA WA TATU MZUKA.


  Mwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Daniel Wilson akizungumza katika Mkutano wa Waandishi wa habari na Bahati nasibu ya Tatu Mzuka na kuwasii watanzania kutumia nafsi kushiriki katika mchezo huo ambao unaanzia kwa shilingi 500.
  Mratibu wa Mawasiliano wa Mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka Sebastian Maganga, akizungumza hadi shilingi  na Waandishi  juu faida za mchezo huo na namna ya kucheza na kufanikiwa kupata Milioni 30.
  Balozi wa Mchezo wa kubahatisha wa Tatu Mzuka,  Mc Ray Maharufu kama Chikunde  akizungumza juu ya yeye kuhusishwa na kampuni inayoendesha mchezo huo wa Tatu Mzuka.
  Waandishi wa habari walioshiriki katika Mkutano huo na Waandishi wa habari na Kampuni ya mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka.
  Kiongozi kutoka Mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka, Mudy B akizungumza na Waandishi wa habari namna ya kushiriki kupitia simu zetu za Mkononi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WATANZANIA WAKARIBISHWA KUSHIRIKI MCHEZO WA KUBAHATISHA WA TATU MZUKA. Rating: 5 Reviewed By: Othman Michuzi
  Scroll to Top