728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 26, 2016

  NANI MKALI WA KUSUKA DAR??? SUKA SUKA YAPIGA HODI KAA CHONJO KAMA WEWE NI MSUSI

  #SukaSuka ni jukwaa la Times FM ambalo linavumbua wakali wa kusuka Mtaa Kwa Mtaa kila wiki mara 3. Kwa miezi miwili tumekua tukiingia kitaani kusaka wakali ambao wanaweza kusuka mitindo yote kwa speed zaidi ya mwendo kasi. Washindi wanatapa zawadi papo hapo kutoka #DarlingHair kuwanao karibu ili kuwasaidia mbinu na njia za kijasiriamali waweze kufanikiwa katika fani yao ya ususi.
  Bila Msusi Dada zetu wasingeringa hapa mjini. Bila Msusi mabrothermen wasingedata kwa watoto wa hapa town! Piga Salute kwa Wasusi Wote.
  Kama we ni msusi mkali uwe mwanamke, mwanaume tunakuja kitaani kwako soon kama kawa. jiandae kwa zawadi kibao na kutoboa katika ususi #SukaSuka2016 #SukaSukaNaTimesFM
  Akinadada wakikusuka mitindo yote kwa speed zaidi ya mwendokasi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NANI MKALI WA KUSUKA DAR??? SUKA SUKA YAPIGA HODI KAA CHONJO KAMA WEWE NI MSUSI Rating: 5 Reviewed By: MICHUZI BLOG
  Scroll to Top