Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wakwanza kushoto.(Katikati ni mkalimani)
Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akimuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin mara baada ya kuchangia madawati kwa kutoa hundi yenye thamni ya dola za Kimarekani (USD 53,000) kwa ajili ya utengenezwaji wa madawati.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin mara baada ya kuchangia madawati kwa kutoa hundi yenye thamni ya dola za Kimarekani (USD 53,000) kwa ajili ya utengeezwaji wa madawati. Wengine katika picha ni Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir watatu kutoka kushoto na Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum wa kwanza kushoto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga pamoja na viongozi wengine wa BAKWATA na wa madhehebu ya Bohora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wengine katika picha ni Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir pamoja na viongozi wengine wa Madhehebu ya Bohora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin kabla ya kuondoka Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuagana na mgeni wake Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ujumbe uliotoka kwa Rais wa Saharawi na kuwasilishwa kwake na Mjumbe Maalum Bachir Moustapha Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
17 Agosti, 2016.

Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Agosti, 2016
amekutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra
Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Saheb(TUS) Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Mazungumzo hayo
yamehudhuriwa na Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Ali na Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga ambapo
Rais Magufuli ameipongeza Jumuiya ya Dawoodi Bohra kwa juhudi kubwa inazofanya
katika kutoa huduma za kiroho na pia kushiriki katika maendeleo.
Dkt. Magufuli amewakaribisha
wana Jumuiya hiyo kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya viwanda na pia
amewakaribisha katika Maadhimisho ya Jumuiya ya Dawoodi Bohra duniani yanayotarajiwa
kufanyika Jijini Dar es Salaam Mwezi Oktoba 2016.
"Tanzania ni
nchi nzuri, tumekuwa na ushirikiano mzuri sana na wenzetu wa Jumuiya ya Bohra,
hivyo njooni mfanye biashara na Tanzania,
tumepanga katika kipindi cha mwaka 2016/2017 hadi 2020/2021 Tanzania iwe
nchi ya viwanda, kwa hiyo tunawakaribisha kuja kuanzisha viwanda vya
kutosha" Amesema Rais Magufuli.
Kwa upande wake
Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohra Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal
Saifuddin Saheb amempongeza Rais Magufuli kwa kazi nzuri inayofanywa na
Serikali yake ya awamu ya Tano, na pia ameahidi kuwa Jumuiya ya Dawoodi Bohra
ipo tayari kushirikiana na Tanzania katika maendeleo.
Aidha, Mtukufu
Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Saheb amemkabidhi Rais Magufuli hundi ya Dola la
Marekani Elfu Hamsini na Tatu (USD-53,000) sawa na Shilingi Milioni 116 za
Kitanzania kwa ajili ya kuchangia utengenezaji wa madawati ya wanafunzi kwa
shule mbalimbali hapa nchini na pia amekabidhi hundi ya Dola za Marekani Elfu
Ishirini na Moja (USD-21,000) sawa na Shilingi Milioni 46 kwa ajili ya Baraza
Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).
Katika
hatua nyingine, Rais Magufuli amepokea barua
kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Saharawi Mhe. Brahim Ghali iliyowasilishwa
na Mjumbe Maalum wa Rais huyo ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.
Bachir Moustapha Sayed.Pamoja na kupokea
barua hiyo Rais Magufuli amesema Serikali yake ya Awamu ya Tano itaendeleza na
kuimarisha zaidi ushirikiano wake na Jamhuri ya Kiarabu ya Saharawi na pia
itaendelea kuunga mkono juhudi za wananchi wa Saharawi kupata haki ya kuamua
hatma yao.
Gerson
Msigwa
Kaimu
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es Salaam
17 Agosti, 2016.
No comments:
Post a Comment