JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


DODOMA KUMEKUCHA WIKI YA VIJANA KUZINDULIWA RASMI KESHO

Share This
 Baadhi ya wakazi wakiwa katika Banda la Mkoa wa Tanga wakati wa maadhimisho ya 16 ya Wiki ya Vijana ambayo Kitaifa inafanyikia mkoani Dodoma. Maadhimisho ya Wiki ya Vijana uratibiwa na kusimamiwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo chini ya Idara ya Maendeleo ya Vijana ambapo maadhimisho ya mwaka huu ni ya 16 tokea kuasisiwa kwake.
Watoto wa Halaiki wakiwa katika maandalizi ya lala salama tayari kwa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kama walivyokutwa na mpiga picha wetu  leo katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Kilele cha mbio za Mwenge waUhuru kitaifa zitafanyika tarehe 14 Oktoba mkoani hapo.

Picha na: Frank Shija, WHVUM

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad