JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE

Share This
WAKAZI wa kisarawe walipata burudani ya aina yake, jumamosi ya juzi tarehe 19 mwezi huu kutoka redio ya 93.7 EFM kupitia kampeni ya muziki mnene. Burudani hiyo ilianza na mpira wa miguu kati ya EFM na buffalo kisarawe, ambapo timu ya Buffalo ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM magoli mawili huku EFM ikiambulia sifuri.

Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo kuwapagawisha wakazi wa kisarawe.

93.7 EFM tutaendelea kutoa burudani hii ya muziki mnene na kuwafikia wasikilizaji wetu wote, hivo wakae mkao wa kula.
  








          

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad