JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Matukio Katika Picha

Share This

 


MATUKIO katika picha wakati wa hitimisho la ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma tarehe 11 Novemba 2026.

Mhe. Daniel Chongolo (Mb), Waziri wa Kilimo anashiriki katika ziara hiyo akiambatana na viongozi mbalimbali wakiwemo Bi. Tagie Daisy, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Wizara ya Kilimo; Dkt Andrew Komba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa Hifadhi ya Chakula (NFRA); Bw Joel Laurent, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA; Bw. Samwel Mshote, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) na aimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mbegu za kilimo (ASA) Mhandisi, Innocent Masaka.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad