JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


NDEJEMBI AWASILI SUMBAWANGA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2026

Share This

 



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewasili katika Uwanja wa CCM Nelson Mandela, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa mwaka 2026.

Sherehe hizo zinafanyika sambamba na Kumbukizi ya Miaka 27 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.








 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad