JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Nani Kunyakua Ushindi Leo?

Share This

 


BADO mbilinge mbilinge za mechi za Kimataifa zinaendelea ambapo wakubwa kibao wanashuka Dimbani kuhakikisha wanaondoka na pointi 3. Je leo hii nani ataondoka na ushindi?

Kivumbi kitawaka kwenye mechi ya Ubelgiji dhidi ya Uturuki kwenye michuano ya UEFA Nations League huku tofauti yao hadi sasa ni pointi 3 mpaka sasa kwani Uturuki mpaka sasa hawajashinda mechi yoyote kwenye mbili walizocheza.

Ubelgiji wamekusanya pointi 3 baada ya kuifunga Italia huku leo hii pia wanahitaji ushindi ili kuweza kukaa kwenye nafasi nzuri. Uturuki, kwa upande mwingine, imepoteza mechi zote mbili 1-0 dhidi ya Ufaransa na 4-1 dhidi ya Italia hivyo presha ipo zaidi kwa upande wao. Jisajili hapa.

Kama inavyojulikana kila timu huwa ina mchezaji au wachezaji muhimu zaidi ambao huamua matokeo na kwa upande wa Ubelgiji, Kevin De Bruyne bado ni mhimili, huku nguvu yao ikiwa kwenye uwezo wa kutawala mpira na kutengeneza nafasi kupitia safu ya kiungo na pembeni.

Timu hiyo pia inaonekana kuwa na ubora zaidi katika kumalizia nafasi, jambo ambalo linaweza kuwa tatizo kwa Uturuki ambayo imefunga bao moja pekee katika mechi mbili za kwanza za Nations League.

Pesa ipo kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Licha ya kupoteza mechi zote mbili, Uturuki sio timu ya kudharauliwa na Arda Güler ndiye mchezaji anayetarajiwa kuleta ubunifu na kasi katika mashambulizi. Tatizo kubwa kwa Uturuki ni kwamba safu yao ya ulinzi ilionekana dhaifu sana dhidi ya Italia, na dhidi ya Ubelgiji kosa kama hilo linaweza kuigharimu zaidi.

Mara ya mwisho kuonana ilikuwa ni 2011 na hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Suka jamvi hapa.

Vilevile katika Kundi hilo hilo A, kutakuwa na mechi nyingine ya kukata na shoka kati ya Ufaransa dhidi ya Italia moja ya mechi kubwa katika hatua ya makundi ya UEFA Nations League. Ufaransa imeanza vyema chini ya kocha mpya Zinedine Zidane, ikiwa imeshinda mechi zake mbili za kwanza dhidi ya Uturuki na Ubelgiji kwa matokeo ya 1-0. Italia nayo imeonyesha dalili za kuimarika, hasa baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Uturuki.

Bado Ufaransa iaendelea kumkosa nahodha wake Kylian Mbappé, ambaye alipata jeraha baada ya kufunga bao la ushindi dhidi ya Uturuki. Hata hivyo, kikosi cha Zidane kina kina kikubwa cha vipaji, huku Ousmane Dembélé, Michael Olise, Bradley Barcola na Désiré Doué wakiwa na uwezo wa kuleta tofauti katika eneo la mwisho.

Italia, chini ya Roberto Mancini, inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na matumaini baada ya kuifunga Uturuki 4-1. Mancini amefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi, akiwapa nafasi wachezaji wapya kadhaa kama sehemu ya kujenga timu mpya baada ya kipindi kigumu cha kutofuzu Kombe la Dunia.

Italia inaweza kujaribu kutumia nguvu na nidhamu ya Sandro Tonali, Davide Frattesi na Niccolò Fagioli, huku Ufaransa ikiwa na uwezo wa kuvunja mistari kupitia kasi na ubunifu wa viungo na mawinga wake.

Kwa ujumla, Ufaransa inaonekana kuwa na faida kutokana na kucheza nyumbani, kina cha kikosi na mwanzo mzuri wa Zidane, lakini Italia imeonyesha kwamba inaweza kufunga mabao mengi ikiwa itaachiwa nafasi. Hivyo, siioni kama mechi rahisi kwa Ufaransa.

Nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi wanapewa Ufaransa kutokana na kiwango chao ambacho wanacho. Je nani unampa nafasi ya kushinda?. Beti hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad