MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amefika Kigamboni jijini Dar es Salaam kuifariji familia ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe, kufuatia kifo cha mama yake mzazi, Bi. Kudra Salim Maghembe.
Bi. Kudra amefariki dunia leo, Oktoba 8, 2026.
Katika ziara hiyo, Makamu wa Rais ametoa pole kwa Dkt. Maghembe pamoja na familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu, akiwataka kuwa na subira na uvumilivu katika kipindi hiki cha majonzi.


.jpeg)



No comments:
Post a Comment