
MZUKA wa Mabingwa ndani ya Meridianbet unaendelea kwa kasi, lakini muda wa kusaka zawadi kubwa unazidi kupungua. Zikiwa zimebaki siku 24 pekee kabla ya ofa hii maalum kwa watumiaji wa Airtel Money kufungwa, sasa ni wakati wa kuchangamkia nafasi ya kushinda zawadi zinazovutia, ikiwemo Bajaj, PlayStation 5, Hisense TV, simu janja na mizunguko ya bure.
Ili kuingia kwenye Mzuka wa Mabingwa, mtumiaji wa Airtel Money anatakiwa kuweka fedha Meridianbet kwa kiasi cha TSh 5,000 au zaidi, kisha kuweka dau la michezo au kucheza mchezo wowote wa kasino wenye thamani ya angalau TSh 5,000. Kwa kufanya hivyo, unajiweka kwenye nafasi ya kushiriki droo na fursa mbalimbali za zawadi ndani ya kampeni hii.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa upande wa kasino, msisimko unaongezeka zaidi kwani washiriki wanaweza kupata nafasi ya kushinda hadi mizunguko ya bure 250 kila siku. Huku kwa upande wa michezo, mashabiki wa kubashiri wanaweza kuendelea kufuatilia mechi wanazozipenda huku wakishiriki kwenye kampeni yenye zawadi zinazoongeza ladha kwenye safari yao ya burudani.
Na si hivyo tu, droo za kila wiki zinatoa nafasi ya kutwaa simu janja, huku zawadi kuu zikisubiri washiriki waliobahatika kushinda Bajaj, PlayStation 5 au Hisense TV. Hivyo, kila siku inayopita ni hesabu inayopunguza muda wa kupata nafasi yako katika Mzuka huu wa Mabingwa.
Siku 24 tu zimebaki. Usisubiri hadi dakika za mwisho, kama wewe ni mtumiaji wa Airtel Money na unapenda kubashiri michezo au kasino, Mzuka wa Mabingwa unakuita Meridianbet. Weka angalau TSh 5,000, cheza kwa angalau TSh 5,000 na uingie kwenye kinyang’anyiro cha zawadi zinazosisimua kabla muda haujaisha. Meridianbet, mzuka wa mabingwa unaendelea.


No comments:
Post a Comment