JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

Matukio ya Picha kwenye Mananda VETA na TEA maonesho ya wiki ya Elimu Tanga

Share This

Wananchi  wakipata elimu katika Banda la VETA  aliyetembelea banda la kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga
Wananchi  wakipata elimu katika Banda la VETA  aliyetembelea banda la kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Korogwe Mkondo wa Amali Katika Fani ya Upishi  wakiwa na Bidhaa zao walizitengeneza katika Banda la TEA  kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad