Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano Bi.Julitha Mlay akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano Bi.Julitha Mlay akizungumza na Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wa Shule ya Sekondari Usagara wakati walipotembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano wa Tume ya Taifa ya Unesco Bi.Julitha Mlay akiwaonesha namna ya fursa za Tume hiyo kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wa Shule ya Sekondari Usagara wakati walipotembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano wa Tume ya Taifa ya Unesco Bi.Julitha Mlay akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wa Shule ya Sekondari Usagara wakati walipotembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano ya Umma na Mawasiliano Bi.Julitha Mlay akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la Tume ya Taifa ya UNESCO kwenye maonesho ya wiki ya elimu MAKISATU yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Usagara jijini Tanga.

No comments:
Post a Comment