JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Vita Kali Ipo Mechi ya Canada vs Morocco

Share This

 


NYASI zinaenda kuwaka leo kwenye mechi hii ya kibabe sana kati ya Canada dhidi ya Morocco ambapo wote wanatafuta nafasi ya kwenda hatua ya Robo Fainali. Odds kubwa zinakusubiri kwenye mechi hii ingia na ubeti sasa.

Hayawi hayawi sasa yamekuwa na leo hii tutaenda kushuhudia mechi ya kwanza ya hatuia ya 16 bora kwenye Taji hili la Dunia kati ya Canada dhidi ya Morocco, mchezo ambao unaweza kuwa na uzito mkubwa kutokana na ubora wa timu hizi mbili mpaka kufika hapo walipo.

Ushindi hii ni tiketi kwa timu mojawapo kwenda hatua ya Robo Fainali, alkini pia huu ni mchezo ambao unarejesha kumbukumbu za Taji la Dunia 2022 ambapo Simba wa Atlas yaani Morocco ilipoifunga Canada mabao 2-1 kwenye hatua ya makundi kwgaiyo hii ni mechi ya kisasi kwa enyeji.

Canada ambao ni moja ya nchi ambao ni wenyeji wa mashindano haya safari yao uelekea hatua hii imeonyesha mabadiliko makubwa ya timu hiyo. Katika hatua ya 32 bora, walishinda kwa ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Afrika Kusini baada ya bao la dakika za mwisho la Stephen Eustáquio. Timu hiyo ilionesha nidhamu kubwakwa wapinzani wao mpaka kipenga cha mwisho.

Nafasi ya kuondoka na pesa ndefu ipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa upande wa Morocco wao ilipitia mtihani mgumu zaidi. Ilihitaji dakika 120 pamoja na mikwaju ya penalti kuiondoa Uholanzi baada ya kutoka sare ya 1-1. Ushindi huo umeongeza kujiamini kwa kikosi hicho baada ya kuonesha kiwango kizuri kwenye michezo ambayo wamecheza. Odds kubwa zinakungoja leo. Ingia na ubashiri sasa.

Je unajua kuwa tofauti kubwa zilizopo kwenye hizi timu ni kwenye aina ya uchezaji?. Canada hupenda kushambulia kwa kasi, kufanya presha mapema na kuwalazimisha wapinzani kufanya makosa. Chini ya kocha Jesse Marsch, timu hiyo imekuwa ikitumia nguvu nyingi katika kukaba na imekuwa ikiwazidi wapinzani kwa umbali wa kukimbia ndani ya uwanja. Hilo linaweza kuwa faida kubwa ikiwa Morocco itaonyesha dalili za uchovu kutokana na mechi yake ya awali.

Morocco, hata hivyo, imeonyesha ukomavu mkubwa katika michezo ya mtoano. Ina safu ya ulinzi iliyopangika vizuri, haipotezi umbo la timu kirahisi na inajua namna ya kusubiri nafasi sahihi kabla ya kuanzisha mashambulizi ya kushtukiza.

Hata ilipopata presha dhidi ya Uholanzi, iliendelea kuwa tulivu hadi iliposhinda kwa penalti. Tabia hiyo inaweza kuwa silaha muhimu dhidi ya Canada ambayo hupenda kupandisha wachezaji wengi mbele. Jisajili na Meridianbet hapa.

Je ni Canada ua Morocco kwenda hatua ya Robo Fainali leo?. Timu ambayo itakuwa imejipanga vyema na kutumia nafasi vizuri huenda ikawa na bahati zaidi ya kusonga mbele.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad