JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Notteingham vitani kujikwamua kushuka daraja

Share This

 

Kuna usemi mmoja kwenye soka la Uingereza unaosema ‘’The Premier League Never sleeps and it never forget. Leo, Jumanne tarehe 24 Aprili 2026, kuanzia saa 22:00 usiku, Uwanja wa Stadium of Light na hadithi mbili tofauti kabisa. Upande mmoja, Sunderland

Mchezo huu unatarajiwa kuwa wenye mvuto zaizi kutokana na takwimu za timu hizi msimu huu kwani Sunderland wanshikilia nafasi ya 11 na point 46 kwenye michezo 33 walio cheza msimu huu. Huku Nottiengham Forest akishikilia nafasi ya 16 na alama 36 kwenye michezo 33 tofauti ya point za timu hizi mbili ni alama 10 hivyo mchezo huu unatazamiwa zaidi kuwa wenye ushindani mkubwa.

Mara ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa ni mchezo wa ligi kuu huku sunderland akiibuka na ushindi wa bao 1 mbele ya Notteingham, msimu huu Sunderland ameshinda michezo 12 sare 10 kufungwa 11, na kwa upande wa Notteingham wameshinda mechi 9 sare 9 kufungwa 15 msimu huu.

Kwa upande wa Sunderland, timu hiyo imeonyesha mchanganyiko wa matokeo msimu huu ikiwa na uwezo mkubwa wa kushambulia lakini ikikumbwa na changamoto za ulinzi. Katika michezo yao ya hivi karibuni wamekuwa wakifunga mabao mengi lakini pia wakiruhusu mabao kirahisi, hali inayoweza kuwapa nafasi wageni kuwatumia vizuri. Mchezaji wao tegemeo katika safu ya ushambuliaji ameendelea kuwa Brian Brobbey ambaye ndiye kinara wa mabao kwa upande wao.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Nottingham Forest kwa upande wao wameonyesha uimara zaidi katika mechi za karibuni, hasa kwenye mpangilio wa timu na nidhamu ya kiufundi. Timu hiyo imekuwa na matokeo mazuri dhidi ya wapinzani wakubwa na ina safu ya kiungo inayoweza kudhibiti mchezo kwa muda mrefu. Kiungo wao tegemeo Morgan Gibbs-White anatarajiwa kuwa mhimili wa mashambulizi na kuunganisha safu ya kati na ushambuliaji.

Mchezo huu unatarajiwa kuwa wa kasi na wenye mabadiliko ya haraka Sunderland watajaribu kutumia faida ya uwanja wao wa nyumbani kushambulia mapema, huku Forest wakitegemea mashambulizi ya kushtukiza na kutumia nafasi zitakazopatikana nyuma ya beki za Sunderland. Hii inafanya mchezo uwe na uwezekano mkubwa wa mabao upande wote.

Takwimu zinaonyesha kuwa Nottingham Forest wana nafasi ndogo ya ushindi ikilinganishwa na Sunderland, lakini tofauti hiyo si kubwa sana, jambo linaloashiria ushindani wa karibu. Makadirio ya kiuchambuzi yanaonyesha Forest wanaweza kushinda kwa uwezekano wa juu kidogo, lakini sare pia ni matokeo yenye uwezekano mkubwa kutokana na ubora unaofanana wa timu hizi mbili. Jisajili

Top of Form
Bottom of Form

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad