JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


MNEC-SUKI RABIA HAMIDI,KANSELA WA CPC WAFANYA KIKAO KAZI JIJINI DAR

Share This

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa - Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amefanya Kikao kazi na Kansela wa Chama Cha Kikomunisti (CPC), Ubalozi wa China nchini Tanzania Ndg. Xu Sujiang leo tarehe 16.04.2026, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

Lengo la kikao hicho ni kujadiliana kuhusu masuala mbalimbali yanayolenga kuimarisha uhusiano na itikadi za vyama hivyo.







No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad