
MECHI ya leo kati ya Manchester United na Brentford itakuwa ya kuvutia kwa sababu timu zote zina malengo tofauti. United wanahitaji ushindi kwa ajili ya kuzidi kujihakikishia nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa, wakati Brentford wanataka nafasi ya kushiriki michuano ya Ulaya aidha Europa ligi au Conference ligi. Old Trafford majira ya saa 22:00 usiku inatarajia kuwa na mvutano mkubwa kutokana na timu hizi zenye malengo yenye kufanana.
Manchester United wana nguvu kubwa ya kushambulia ikiwa Bruno Fernandes na Martius Cunha wako sawa. Hata hivyo, safu ya ulinzi ya United imekuwa na udhaifu, hasa wanapokabiliwa na wapinzani wenye kasi ya kupokezana mipira mifupi na ya kushambulia kwa ghafla hali iliyo pelekea kupoteza michezo msimu huu.
Brentford inshika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi ya EPL wakiwa na alama 48 kwenye michezo 33, kwenye mchezo wa leo wanaweza kuwashangaza Manchester United kwani wanatimu yenye kiwango bora hususan eneo la ushambuliaji wakiongozwa na washambuliaji wao vinara Schade Kevin mwenye mabao 7 na Ouattara Dango mwenye mabao 5.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Brentford inakabiliwa na majeruhi wengi kwenye kikosi chao Henry Rico, Carvalho Fabio, Henderson Jordan na Janelt Vitaly, hali hii inampa ugumu kocha wakikosi hichi Andrews Keith anapokwenda kucheza na Manchester united pale Old Trafford, Hata hivyo kwa upande wa Man united itaendelea kuwakosa nyota wake Dorgu Patrick, Yoro Leny, de Ligt Matthijs na Mbeumo Bryan. Huku kocha Michael Carrick atalizimika kuanga safu yake ushambuliaji huku akimkosa Mneumo mwenye mabao 9.


No comments:
Post a Comment