JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Piga Pesa Mechi za Europa Leo

Share This

 


JE unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa.

Ligi kuu ya Hispania LALIGA kuendelea siku ya leo Atletico Madrid atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Rayo Vallecano ambao wapo nafasi ya 18 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Bashiri hapa.

Pia Levante naye atamkaribisha Valencia huku mechi ya mwisho kukutana kati yao mgeni aliondoka na ushindi. Mwenyeji leo hii anataka kulipa kisasi akiwa nyumbani huku wakali wa ubashiri wakiipa mechi hii ODDS KUBWA. Jisajili hapa.

Kwa upande wa Mallorca wao watamenyana vikali dhidi ya Real Betis huku tofauti yao ikiwa ni 14. Kila timu inahitaji ushindi leo hii kujiweka kwenye msimamo wa ligi vizuri.

Tengeneza pesa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Vilevile kule ITALIA SERIE A kitawaka vilivyo, mapema kabisa Udinese atamenyana dhidi ya Sassuolo ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao mgeni aliondoka na pointi 3. Leo hii mwenyeji anataka ushindi akiwa nyumbani. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani?. Suka jamvi hapa.

Mechi nyingine ya kibabe ni hii ya Torino vs Bologna ambao tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee, huku mechi ya mwisho walipokutana hakuna ambaye alikuwa mbabe. Nafasi ya kushinda Mamilioni ipo kwenye mechi hii leo. Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na ubashiri sasa.

Bingwa mtetezi wa ligi, Napoli atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya AS Roma huku mechi ya kwanza msimu huu kwenye ligi walipokutana, vijana wa Conte waliondoka na ushindi. Je wataendeleza ubabe wao mbele ya vijana wa Stadio Olympique?. Tengeneza jamvi hapa.

LIGUE 1 kule Ufaransa nayo leo hii kuendelea Lorient atamenyana dhidi ya Angers ambao wpao nafasi ya 9 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo huku wakali wa ubashiri Tanzania wakiipa mechi hii ODDS KUBWA kabisa. Beti hapa.

Nao Lyon watakuwa kibaruani kucheza dhidi ya Nice ambao kushinda mechi hii ni muhimu sana kwao kutokana na mwenendo wa matokeo ambayo wanayo. Meridianbet kwenye mechi hii wanakwambia kuwa inaweza kubadili maisha yako. Bashiri sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad