JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Meridianbet Kukupa Beti za Bure kupitia Non-Stop Win&Go Drop

Share This

 


HABARI hii inakuja kwa ukubw kukufurahisha wewe mpenzi wa michezo ya kasino mtandaoni na ubashiri. Meridianbet, imeileta promosheni kabambe ya Non-Stop Win&Go Drop, ikiwapa wateja wake nafasi ya kupata bonasi za beti za bure hadi 500 kila siku kwa hatua rahisi tu. Hii ni fursa kubwa sana ya kujikusanyia faida kwa wapenzi wa michezo waliofungua akaunti zao Meridianbet.

Win&Go ni mchezo wa bahati nasibu unaotolewa na Expanse Studios, ukijumuisha kuchagua namba 6 hadi 10 kati ya jumla ya namba 48 na kusubiri matokeo yanayotolewa kila baada ya dakika tano huku ushindi ukipatikana pale namba ulizochagua zikifanana na matokeo.

Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Meridianbet imekuwa ikitoa bonasi mara kwa mara ikiwemo mizunguko ya bure, bonasi za ukaribisho kwa wateja wapya, na promosheni za kila mara. Lakini sasa, wapenzi wa Win&Go wanapewa ofa ya kipekee ya Non-Stop Win&Go Drop, tiketi za bure zinazokuwezesha kuweka beti bila kutumia dau halisi, huku furaha na msisimko vya mchezo wa Win&Go vikiongezeka.

Hii ni fursa ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni kujaribu bahati yao na kushinda kwa urahisi zaidi. Ili kujiunga na sherehe hii ya michezo na kupata tiketi za bure, jisajili sasa kupitia tovuti ya Meridianbet au pakua application ya simu. Usisite, wakati wa mabadiliko ni sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad