Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akiwa na Bw. Nathan Belete, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anayesimamia Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, baada ya mkutano wa kimkakati wa kibiashara uliofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hyatt Regency Park jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizo mbili.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akizungumza na Bw. Nathan Belete, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anayesimamia Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, baada ya mkutano wa kimkakati wa kibiashara uliofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hyatt Regency Park jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizo mbili.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kulia), akiagana na Bw. Nathan Belete, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anayesimamia Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, baada ya mkutano wa kimkakati wa kibiashara uliofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Hyatt Regency Park jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulilenga kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi hizo mbili.
.jpeg)




No comments:
Post a Comment