
MERIDIANBET imekuja na promosheni ya kibabe kabisa ambayo itakufanya wewe ujishindi Samsung A26 mpya kabisa endapo utafata maelekezo. Ni rahisi sana kuwa mshindi wa simu janja hii. Tengeneza jamvi lako sasa na uibuke mshindi.
Promosheni hii ni ya mwezi mzima ambayo ni maalumu kwa watumiaji wote halali wa Meridianbet ambapo mteja ili ajiweke kwenye nafasi ya kushinda simu hiyo inabidi asuke jamvi lake na ubashiri hapa.
Dau ambalo linatakiwa kuwekwa kwenye promosheni hii wakati wa kufanya ubashiri wako ni kuanzia 5000 na kuendelea kila wiki ambapo mteja atatakiwa kubeti kwenye ligi yoyote lakini iwe ni mechi za mpira wa miguu.
Meridianbet wanasema kuwa ili ujiweke kwenye nafasi ya kuondoka na simu janja hii hapa na uwe wa Kidigitali kabisa ni vyema ukabashiri mara nyingi zaidi kwani kufanya hivyo kunakuweka karibu na ushindi leo hii wa Samsung A26.
Ukiachana na promosheni hiyo, Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Zaidi ya kutoa zawadi, kampeni hii inalenga kuongeza hamasa kwa mashabiki kufurahia mechi za Ligi wakiwa na matumaini makubwa. Kila ubashiri unaowekwa si tu unaleta msisimko wa kutafuta ushindi wa dau, bali pia msisimko wa kusubiri droo ya kujua kama wewe ndio mteule wa kupata simu mpya. Huku mashindano yakiendelea kila wiki, kila mchezaji anapata nafasi nyingi kadri anavyobashiri mara kwa mara.
Washindi wa promosheni hii watatangazwa kila Ijumaa ambapo ndio siku ambayo simu hutolewa hivyo usikae mbali na fursa hii kwani inakupa nafasi ya wewe kumiliki simu kali ambayo itakufanya uweze kuperuzi.
Kumbuka kuwa unapoingia kwenye mashindano haya ya kuwania Samsung A26, hutakiwi Kuturbo Mkeka wako au CASH OUT kwa namna nyingine haitahusika kwani inatakiwa usubiri jamvi lako limalizike.
Na kufanya hivyo kutakufanya ujiondoe kwenye mashindano kwani tiketi yako itahesabika kama batili. Hivyo subiri hadi mechi zote zikamilike ndipo uweze kuingia kwenye wachezaji ambao sio batili.


No comments:
Post a Comment