JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Meridianbet

Share This

 


JE, unajua kuwa sehemu pekee ya wewe kutimiza ndoto zako ni Meridianbet pekee?. Tandika jamvi lako sasa na unanze safari yako ya kufanikiwa kimaisha kwani kwa dau dogo tuu unaibuka Milionea.

EPL kurindima wikendi hii ambapo mapema kabisa Chelsea atakuwa ugenini dhidi ya Newcastle United ambapo mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, The Blues walipoteza, hivyo mechi hii ni ya kisasi. Je vijana wa Enzo watafanya nini?. ODDS KUBWA zipo hapa. Bashiri hapa.

Kwa upande wa Manchester City wao watakuwa Etihad kukipiga dhidi ya West Ham United ambao msimu uliopita, Wagonga Nyundo walipoteza mechi zote mbili walizokutana na vijana wa Pep Guardiola. Pep anahitaji ushindi huu kupigania mbio za ubingwa. Jisajili hapa.

Tottenham Spurs wataumana dhidi ya Liverpool ambao msimu huu umekuwa mbovu kwao lakini bado wanajikokota kwenye ligi. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo huku mechi hii ikiwa na ODDS KUBWA Meridianbet. Je nani kuondoka kifua mbele hapa?. Tengeneza jamvi hapa.

Piga pesa na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Vilevile ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA itaendelea ambapo FC Cologne ataumana dhidi ya Union Berlin ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 1 pekee. Je nani unampa pesa yako leo akupatia mzigo wa kutosha?. Tandika jamvi hapa.

Nao Wolfsburg atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Freiburg ambapo mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili kwenye mechi zote mbili, mwenyeji alipasuka hivyo leo hii anataka kulipa kisasi. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.

Pia RB Leipzig yeye atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Bayer Leverkusen ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee. Wote wawili wanahitaji ushindi siku ya leo ili kubakia kwenye timu nne za juu kwenye msimamo wa ligi. ODDS za kibabe zipo Meridianbet pekee. Suka jamvi hapa.

LALIGA kule Hispania kama kawaida kuna mechi za pesa Real Oviedo atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Celta Vigo huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 9 pekee. Meridianbet inakwambia hivi ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya kutusua hapa.

Nao Osasuna atamenyana dhidi ya Deportivo Alaves ambao kwenye mechi 15 walizocheza hadi sasa wamekusanya pointi zao 18 huku wenyeji wao wakipiga pointi 15. Msimu uliopita kwenye mechi zote mbili walizokutana, hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Je nani kuondoka na ushindi?. Tandika jamvi hapa.

Vijana wa Xabi Alonso, Real Madrid watakuwa Santiago Bernabeu kukiwasha dhidi ya Sevilla ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 13 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 2. Real wapo kwenye mbio za ubingwa na ushindi huu ni muhimu sana kwao. ODDS KUBWA zipo hapa. Bashiri sasa.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad