jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

PROGRAMU YA ‘CODE LIKE A GIRL’ YAMEWAJENGEA UWEZO WA TEHAMA WASICHANA MKOANI DODOMA

Share This
Jumla ya wanafunzi wa kike 2600 wamejengewa uwezo wa masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na Kampuni ya simu ya Mikononi ya Vodacom Tanzania tangu 2018 mpaka mwaka huu kupitia program ya Code Like a Girl

Mkuu wa Kanda ya kati wa Vodacom Tanzani, Joseph Sayi alisema hayo leo desemba 13 wakati alipokuwa akifunga mafunzo hayo ya TEHAMA yaliyofanyika Chuo kikuu cha Dodoma (Udom).

Alibainisha kuwa mafunzo hayo yamekuwa yakitolewa kwa awamu kwa baadhi ya Mikoa hapa nchini yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo wa masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM) wanafunzi hao wa kike kwa ufadhili wa Vodacom Tanzania PLC.
 Meneja wa Kampuni ya  Vodacom Tanzania Kanda ya Kati Joseph Sayi (kushoto) akimkabdhi cheti mwanafunzi Winnie Futa wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo  wanafunzi wa kike katika masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) yaliyofadhiliwa na Vodacom.
CODE%20LIKE%20A%20GIRL%20UDOM%20-%20YA%20CAPTION%202
Meneja wa Kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania Kanda ya Kati ,Joseph Sayi (kulia) akizungumza na wanafunzi wasichana  kutoka Kanda hiyo wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo katika masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Udom Jijini Dodoma jana kwa ufadhili wa Vodacom.
CODE%20LIKE%20A%20GIRL%20-%20UDOM%20-%20YA%20CAPTION%204
Meneja wa Kampuni ya  Vodacom Tanzania Kanda ya Kati Joseph Sayi (kushoto) akimkabidhi  begi  mwanafunzi Emmeline Kitali wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea wanafunzi wa kike uwezo  wanafunzi wa kike katika masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)  yaliyofanyika Chuo kikuu cha Udom Jijini Dodoma jana kwa ufadhiliwa na Vodacom. 
CODE%20LIKE%20A%20GIRL%20-%20UDOM%20-%20YA%20CAPTION%203
Baadhi ya wanafunzi wa kike kutoka shule za sekondari Kanda ya kati wakijifunza jinsi ya kutumia kopyuta kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo katika masomo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA ) yaliyofanyika Chuo kikuu cha Udom Jijini Dodoma jana kwa ufadhili wa kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom Tanzania.

CODE%20LIKE%20A%20GIRL%2010


CODE%20LIKE%20A%20GIRL%209%20(1)
CODE%20LIKE%20A%20GIRL%207


CODE%20LIKE%20A%20GIRL%206


CODE%20LIKE%20A%20GIRL%205
CODE%20LIKE%20A%20GIRL%205%20(1)
CODE%20LIKE%20A%20GIRL%204
CODE%20LIKE%20A%20GIRL%201


Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad