HATIMAYE siku nzuri ya kupiga pesa ambayo husubiriwa na watu wengi imefika, si nyingine bali ni Jumamosi ambayo mechi nyingi ulimwenguni huchezwa. Hivyo nafasi ya wewe kuondoka Milionea ni rahisi sana na Meridianbet.
Kama kawaida ligi pendwa pale Uingereza EPL, leo hii kuna mechi nyingi za kubashiri, Arsenal atakuwa mwenyeji wa Everton ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi waishinda mechi 3 pekee kati ya 15 walizocheza. Nafasi ya kushinda amepewa The Gunners kwa ODDS 1.23 kwa 13. Bashiri hapa.
Pia Liverpool baada ya mechi yake iliyopitwa kuahirishwa, leo hii atakuwa pale Anfield kumenyana dhidi ya Fulham ambapo mara ya mwisho kukutana, Jogoo aliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi ugenini?. 1.30 kwa 9.00 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Hapo baadae Nottingham Forest baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakipiga dhidi ya Aston Villa ambaye alishinda pia mechi yake iliyopita. Wote wan apointi sawa kwenye msimamo wa ligi huku mechi ya mwisho kukutana, Villa alishinda. Je Nuno atalipa kisasi leo?. Mechi hii ina ODDS 2.80 kwa 2.55. Suka jamvi hapa.
Jumamosi ya leo ni ya kupiga mkwanja na Meridianbet kwani odds kubwa na mcahguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Pia kule LALIGA kuna mechi za pesa ambapo RCD Mallorca ataumana dhidi ya Girona ambao wametoka kupigika mechi yao iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 8 na mgeni wa 9 huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 2. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Tengeneza jamvi hapa.
Nao Sevilla watakuwa na kibarua cha kusaka pointi 3 dhidi ya Celta Vigo ambao wapo nafasi ya 10 huku wakiwa wameshinda mechi 6 kati ya 16 walizocheza huku kwa upande wa mwenyeji yeye ameshinda 5 pekee. Nani kuibuka bingwa leo?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.45 kwa 3.05. Tandika jamvi lako hapa.
Bingwa mtetezi Real Madrid atakuwa ugenini kutafuta ushindi dhidi ya Rayo Vallecano ambao ni wa 12 kwenye ligi. Carlo na vijana wake wakishinda leo watapanda hadi kileleni kwenye msimamo wa ligi. Je mwenyeji anaweza kuwazuia?. 5.80 kwa 1.60 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Kule Italia pia SERIE A kama kawaida zitapigwa mechi kibao, Cagliari Calcio atapepetana dhidi ya Atalanta BC ambao wapo kwenye mbio za ubingwa wakiwa nafasi ya kwanza hadi sasa. Meridianbet wamempa mgeni nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.55 kwa 5.60. Suka jamvi hapa.
Nao Udinese Calcio watakipiga dhidi ya SSC Napoli ya Antonio Conte ambao wametoka kupoteza mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana walitoa sare huku leo hii kila timu inataka kushinda na ODDS zao ni 5.40 kwa 1.73. Tandika jamvi hapa.
Bibi Kizee wa Turin Juventus atakuwa kwake Allianz kusaka pointi 3 dhidi ya Venezia FC ambao ndio vibonde wa ligi wakiwa na pointi 9 pekee hadi sasa. Juve ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita wakati kwa upande wa mgeni yeye ametoa sare pia. Nnai kuibuka mbabe? 1.42 kwa 8.00 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
BUNDESLIGA kule Ujerumani nayo itarindima FC Augsburg atamleta kwake Bayer Leverkusen ya Alonso ambao ndio ambao ndio mabingwa watetezi wa kombe hili huku mpaka sasa wakiwa nafasi ya 3 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 13. Leverkusen anapewa nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.62 kwa 5.40. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri sasa.
Nao FSV Mainz watamenyana dhidi ya Bayern Munich ambao ndio vinara wa ligi hii mpaka sasa wakiwa na pointi zao 33. Mara ya mwisho kukutana vijana wa Kompany waliibuka na ushindi. Je munich wataendeleza ubabe wao dhidi ya Mainz?. 6.60 kwa 1.48 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
FC. ST Pauli watakuwa na kibarua cha kumenyana dhidi ya Werder Bremen ambao wapo nafasi ya 10 wakati kwa mwenyeji yupo nafasi ya 15, huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 8 pekee. Kila timu inahitaji ushindi leo hii ambapo mabingwa wa ubashiri Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.70 kwa 2.65. Tandika jamvi lako hapa.
No comments:
Post a Comment