JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

RAIS WA ZANZIBAR AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA IBADA YA SALA YA IJUMAA

Share This

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Meli Nne Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-7-2024.
/Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini alipowasili katika viwanja vya Masjid Taqwaa Mwanakwerekwe Meli Nne Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 26-7-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Meli Nne Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-7-2024.

(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad