JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad

Mahakama yaihukumu Z.A.S kulipa Mikopo ya Benki ya Equity Tanzania na Benki ya Equity Kenya

Share This

*Ni ile Mikopo Chechefu ya Wafanyabiashara kutaka wasilipe

Na Mwandishi Wetu,Michuzi TV
MAHAKAMA Kuu ya Biashara imetoa hukumu kwa Z.A.S kulipa kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 5433053.99 kwa Benki ya Equity Tanzania Limited (EBTL) pamoja na kulipa Dola za Kimarekani Milioni 2631753.88 Benki ya Equity Kenya Limited (EBKL) Z.A.S pia itawajibika kulipa riba ya asilimia Nane kwa mjibu wa mkataba wa Oktoba 5,2021 pamoja kulipa riba ya asilimia saba tangu hukumu ilipotolewa hadi siku ya malipo.

Hukumu Hiyo imetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Butamo Philip Julai 23 Mwaka huu.

Katika Hukumu hiyo imeitaka Z.A.S kulipa gharama za kesi na Z.A.S na wengine wote ambao ni Amit Ladwa,Muzdalifat Ali,Jamali Muslim,Masasi Construction Co LTD pamoja na Bahari Apartment

Mahakama imeshauri kulipa Dola za Kimarekani Milioni 7623127.99 kama wadhamini wa wa pili hadi wa Sita kwa walalamikiwa 'Gurantor Deffendent'kwa kushindwa kulipa kama walivyotakiwa kwenye onyo la EBKL na EBTL.

Kesi ya Kibiashara ya mkopo Chechefu namba 263 ya Mwaka 2022 kati ya Z.A.S Investiment Company Limited dhidi ya Benki ya Equity Tanzania pamoja na Benki ya Equity Kenya.

Kampuni ya Z.A.S alifikisha shauri la kibiashara dhidi ya Benki ya Equity Kenya Limited pamoja na Benki ya Equity Tanzania limited katika mgogoro mkopo wa Machi 2019 Z.A.S aliomba mkopo wa USD 7013000 kama Mtaji wa kazi kutoka Benki hizo.

Benki ya Equity Tanzania alimuunganisha na Benki ya Equity Kenya na kusaini mkataba Aprili 5 ,2019 wa mkopo wa dola za Kimarekani Milioni 7013000 kwa muda wa mwaka mmoja wenye masharti ya kuhuishwa kwa muda usiozidi miaka saba Katika mkopo huu waliweka dhamana ya viwanja mbalimbali plot no 1521 1522,1523 CT 51571 Msasani Peninsular chenye jina la ZAS

pia waliweka dhamana ya kiwanja namba 558 block A CT 146661 Sinza, plot no 1521,1522 pamoja na 1523 CT 51571.

Kwamba katika mkataba huo EBKL walikubali kutoa barua kwa ajili ya mkopo huo na baada ya hapo mkopo huo haukulipwa kama walivyokubaliana.

Hivyo Z.A.S aliamua kuomba mkopo mwingine kwa ajili ya kuendeshea ambapo EBKL iliwezesha Z.A.S kupata mkopo huo kutoka kwa LAMAR kupitia NUMORA TRADING LIMITED.

Kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 6418000 baada ya kukata kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 595000.

Katika vipindi tofauti Z.A.S alipokea taarifa ya pesa aliyokopa kutoka kwa LAMAR kwa msaada ya EBKL ambazo zilikuwa zikiingizwa Kwenya akaunti ya ESCROW iliyofunguliwa EBTL.

Mara ya Kwanza Z.A.S ilipokea mkopo Juni 18,2019 wa Dola za Kimarekani Milioni 553700 ,Julai 1,2020 Dola za Kimarekani Milioni 561932 pamoja Mei 26,2020 Dola za Kimarekani Milioni 406899.66,Agasti 19,2021 Dola za Kimarekani Milioni 235284.68.

Katika fedha zote ambazo Z.A.S alipata kutoka kwenye Kampuni ya LAMAR kupitia NUMORA Dola za Kimarekani Milioni 6416000 Kiasi cha Dola za Kimarekani 3890,000 kilikatwa kwa ajili ya malipo ya deni la mkopo La EBTL na EBKL.

Kampuni ya NISK iliunganisha Z.A.S na Lamar na kufanikisha ZAS kupata mkopo wa Nje kutoka Lamar Dola za Kimarekani 7013000 mnamo Aprili 5,2019.

EBKL walitoa barua kuhusu mkopo huo kama wadhamini ambapo baadaye EBKL walilipa mkopo huo kwa NUMORA chini ya makubaliano ya barua ya mkopo.

Hata hivyo ZAS na EBKT na EBTL walifanya maboresho ya Mkataba Septemba 28/2021 ambapo walisainiana mkataba wa mkopo wa wa Dola za Kimarekani Milioni 7359633 kwa masharti ya Kulipwa kwa mkopo huo kwa muda wa miezi 152.

Ambapo Oktoba 5/2021 walifanya maboresho tena ya mkopo wa vifaa wa Septemba 28,2020 wa Dola za Kimarekani Milioni 7623127.99.

Dola za Kimarekani Milioni 5249999.99 na Dola za Kimarekani 2273128 ilikuwa chini ya EBKL na EBTL walikubaliana Z.A.S kuwa amelipa ndani ya miezi 140.

Hata hivyo baadae Oktoba5/2021 Z.A.S aliomba kufanya maboresho ya vifaa ambapo EBKL na EBTL ambapo walikata maombi hayo.

Hivyo EBKL wanadai ZAS USD 5433053.99 na EBTL Wanadai Dola za Kimarekani Milioni Mahakama Kuu Division ya Biashara imetoa hukumu kwa Z.A.S kulipa kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 5433053.99 kwa Benki ya Equity Tanzania pamoja na kulipa Dola za Kimarekani Milioni 2631753.88 Benki ya Equity Kenya

Z.A.S pia itawajibika kulipa riba ya asilimia Nane kwa mjibu wa mkataba wa Oktoba 5,2021 pamoja kulipa riba ya asilimia saba tangu hukumu ilipotolewa hadi siku ya malipo.

Hukumu Hiyo imetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Divisini Biashara..Philip

Katika Hukumu hiyo Z.A.S kulipa gharama za kesi zilipwe na Z.A.S na wengine wote ambao ni Amit Ladwa,Muzdalifat Ali ,Jamal Muslim, ,Masasi Construction Co.LTD pamoja na Bahari Apartment

Mahakama imeshauri kulipa Dola za Kimarekani Milioni 7623127.99 kama wadhamini wa wa pili hadi wa Sita 6 Kwa walalamikiwa kwa kushindwa kulipa kama walivyotakiwa kwenye onyo la EBKL na EBTL.

Kesi ya Kibiashara ya mkopo Chechefu namba 263 ya Mwaka 2022 kati ya Z.A.S INVESTMENT COMPANY LTD dhidi ya Benki ya Equity Tanzania pamoja na Benki ya Equity Kenya.

Kampuni ya Z.A.S alifikisha shauri la kibiashara dhidi ya Benki ya Equity Kenya Limited pamoja na Benki ya Equity Tanzania limited katika mgogoro mkopo wa Machi 2019 Z.A.S aliomba mkopo wa USD 7013000 kama Mtaji wa kazi kutoka Benki hizo.

Benki ya Equity Tanzania alimuunganisha na Benki ya Equity Kenya na kusaini mkataba Aprili 5 ,2019 wa mkopo wa dola za Kimarekani Milioni 7013000 kwa muda wa mwaka mmoja wenye masharti ya kuhuishwa kwa muda usiozidi miaka saba Katika mkopo huu waliweka dhamana ya viwanja mbalimbali plot no 1521 1522,1523 CT 51571 Msasani Peninsular chenye jina la ZAS

pia waliweka dhamana ya kiwanja namba 558 block A CT 146661 Sinza, plot no 1521,1522 pamoja na 1523 CT 51571.

Kwamba katika mkataba huo EBKL walikubali kutoa barua kwa ajili ya mkopo huo na baada ya hapo mkopo huo haukulipwa kama walivyokubaliana.

Hivyo Z.A.S aliamua kuomba mkopo mwingine kwa ajili ya kuendeshea ambapo EBKL iliwezesha Z.A.S kupata mkopo huo kutoka kwa LAMAR kupitia NUMORA TRADING LIMITED.

Kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 6418000 baada ya kukata kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 595000.

Katika vipindi tofauti Z.A.S alipokea taarifa ya pesa aliyokopa kutoka kwa LAMAR kwa msaada ya EBKL ambazo zilikuwa zikiingizwa Kwenya akaunti ya ESCROW iliyofunguliwa EBTL.

Mara ya Kwanza Z.A.S ilipokea mkopo Juni 18,2019 wa Dola za Kimarekani Milioni 553700 ,Julai 1,2020 Dola za Kimarekani Milioni 561932 pamoja Mei 26,2020 Dola za Kimarekani Milioni 406899.66,Agasti 19,2021 Dola za Kimarekani Milioni 235284.68.

Katika fedha zote ambazo Z.A.S alipata kutoka kwenye Kampuni ya LAMAR

kupitia NUMORA Dola za Kimarekani Milioni 6416000

Kiasi cha Dola za Kimarekani 3890,000 kilikatwa kwa ajili ya malipo ya deni la mkopo La EBTL na EBKL.

Kampuni ya NISK iliunganisha Z.A.S na Lamar na kufanikisha ZAS kupata mkopo wa Nje kutoka Lamar Dola za Kimarekani 7013000 mnamo Aprili 5,2019.

EBKL walitoa barua kuhusu mkopo huo kama wadhamini ambapo baadaye EBKL walilipa mkopo huo kwa NUMORA chini ya makubaliano ya barua ya mkopo.

Hata hivyo ZAS na EBKT na EBTL walifanya maboresho ya Mkataba Septemba 28/2021 ambapo walisainiana mkataba wa mkopo wa wa Dola za Kimarekani Milioni 7359633 kwa masharti ya Kulipwa kwa mkopo huo kwa muda wa miezi 152.

Ambapo Oktoba 5/2021 walifanya maboresho tena ya mkopo wa vifaa wa Septemba 28,2020 wa Dola za Kimarekani Milioni 7623127.99.

Dola za Kimarekani Milioni 5249999.99 na Dola za Kimarekani 2273128 ilikuwa chini ya EBKL na EBTL walikubaliana Z.A.S kuwa amelipa ndani ya miezi 140.

Hata hivyo baadae Oktoba5/2021 ZAS aliomba kufanya maboresho ya vifaa ambapo EBKL na EBTL ambapo walikata maombi hayo.

Hivyo EBKL wanadai Z.A.S Dola za Kimarekani Milioni 5433053.99 na EBTL Wanadai Dola za Kimarekani Milioni 2631753.88

Mahakama imesema Z.A.S alivunja mkataba wa kibenki wa mkopo wa Oktoba 5/2021.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad