JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


LEO UINGEREZA, UHOLANZI ZOTE KUKUPA PESA

Share This

 


SIKU ya leo EURO 2024 kupigwa katika viwanja mbalimbali, na tayari Meridianbet wameshakuwekea machaguo yote ambayo unayataka. Ingia Meridianbet sasa na usuke jamvi lako hapa.

Mechi ya mapema leo hii ni hii ya Kundi D ambapo Poland wataumana dhidi ya Netherlands katika dimba la Volksparkstadion wakati Mholanzi akiwa amepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 1.57 kwa 5.48. Timu hizi mbili mara ya mwsiho kukutana, ilikuwa 2022 kwenye Kombe la Dunia na Poland alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?

Uholanzi ana wachezaji wakubwa wenye majina makubw ambao wanacheza ligi kuu mbalimbali kama vile, Van Dijk, Memphis Depay, Nathan Ake, Gakpo na wengine kibao huku kw aupande wa Poland staa wao ni Roberto Lewandowski, huku wengine wakiwa ni Golikipa wao Szczeny, Nivola Zalewski na wengine. Nnai kuibuka mshindi?. Beti hapa.

Jumapili ya leo suka mkeka wako ndani ya Meridianbet upige mkwanja na mechi za EURO. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Baada ya hapo majira ya saa moja usiku tuatenda kushuhudia mechi ya Slovenia dhidi ya Denmark ambao wanapigwa upatu sana kuondoka na pointi tatu muhimu leo. Kama kawaida Meridianbet huchagua vilivyo bora kwa kukuwekea ODDS KUBWA mechi hii yaani ni 5.09 kwa 1.76.

Denmark ambayo ina wachezaji wakubwa kama Hojlund, Eriksen kutoka Man United, Christensen na wengine wanataka kuonesha ubora wao mbele ya Benjamin Sesko, Jan Oblak leo. Je Slovenia watakubali kuchapika leo baada ya mechi ya mwisho walipokutana 2023 kupoteza?. Jisajili hapa.

Mbungi la maana litakuwa saa nne usiku ambapo Serbia watakiwasha dhidi ya Uingereza, wanafainali hawa wa 2022. Uingereza wamepewa ODDS 1.47 kwa 7.84 kushinda mechi hii. Vijana hawa wa South Gate wanapewa nafasi ya kucheza fainali

kabisa ya EURO kutokana na wachezaji bora ambao wanao, akiwemo Harry Kane, Palmer, Foden, Mainoo, Rice na wengine huku kwa upande wa Serbia wao wana matumaini na Mitrovic ambaye anakipiga Al Hilal kule Saudia, Milinkovic Savic, Tadic. Je Uingereza kwenye EURO hii atafika wapi? Suka jamvi hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad