JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


VODACOM YAKABIDHI BIMA 200 KWA AKINA NA MAMA NA WATOTO PAMOJA NA ZAWADI KWA WASHINDI MBALIMBALI IKIWEMO PESA TASLIMU SHILINGI MILIONI 10 JIJINI MBEYA.

Share This

Mshindi wa pesa taslimu shilingi milioni 10 kupitia kampeni ya Vodacom Tanzania PLC inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, Bi. Ester Skayanga (katikati) akiwa ameshikilia mfano wa hundi aliyokabidhiwa na Masta Shangwe (aliyevalia kofia ngumu) pamoja na Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Vodacom Tanzania, Bi. Happiness Shuma (wa pili kushoto) katika viwanja vya Uyole jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo.

Washindi tofauti akiwemo wa pesa taslimu shilingi milioni 10 kupitia kampeni ya Vodacom Tanzania PLC inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, Bi. Ester Skayanga (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa zawadi zao katika viwanja vya Uyole jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo.
Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Vodacom Tanzania, Bi. Happiness Shuma (wa kwanza kulia), Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Annette Kanora (wa pili kushoto) pamoja na Masta Shangwe (mwenye kofia ngumu) wakikabidhi kiashiria cha bima ya afya kwa mmoja wa akina mama katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya kupitia kampeni inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’ mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii jumla ya akina mama na watoto wachanga 2,000 watakabidhiwa bima kubwa ya afya kupitia VodaBima kutoka Vodacom itakayotumika kwa kipindi cha mwaka mmoja ikiwa ni zawadi ya upendo kutoka kampuni hiyo kwenda kwa watanzania katika msimu huu wa sikukuu.   
 Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakikabidhi kiashiria cha bima ya afya kwa mmoja wa akina mama katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya kupitia kampeni inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’ mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii jumla ya akina mama na watoto wachanga 2,000 watakabidhiwa bima kubwa ya afya kupitia VodaBima kutoka Vodacom itakayotumika kwa kipindi cha mwaka mmoja ikiwa ni zawadi ya upendo kutoka kampuni hiyo kwenda kwa watanzania katika msimu huu wa sikukuu.

Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Vodacom Tanzania, Bi. Happiness Shuma (wa pili kushoto) akimvisha kanga mmojawapo wa washindi waliopatikana kupitia kampeni inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, katika viwanja vya Uyole jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo. 




 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad