JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


RAIS SAMIA AWASILI NCHINI NA KUELEKEA KATESH

Share This

  




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad