JIACHIE

Karibuni Jamvini Wanajamii

Tangaza Hapa

Post Top Ad


CHEZA SANA AVIATOR MWEZI HUU UJIONEE MAAJABU

Share This

 

AVIATOR mchezo maarafu sana kwasasa kwenye michezo ya kasino ambao umejizolea umaarufu mkubwa kama “Kindege” umekuwa mchezo pendwa sana kwa baadhi ya vijana kutokana na urahisi wake wa kucheza na kukusanya mkwanja chapu. Basi kutokana na mchezo huo kuwa pendwa kampuni ya Meridiabet imekuja na promosheni kabambe unapocheza mchezo huu.

Promosheni hiyo ilianza tangu tarehe 12 Oktoba na mwisho wake itakuwa ni tarehe 30 Oktoba hivyo mteja wa Meridianbet weka dau lako haraka uanze kucheza mchezo huu pendwa wa kasino uweze kupiga pesa haraka na upate beti za bure kila siku.

Maisha yamekuwa magumu sana na vijana wengi kutokana na kuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira wamekuwa wakipamabana kufanya kila njia ili waweze kupata pesa ya kujikimu maisha yao ya kila siku, hivyo Meridianbet imekuja kama mkombozi wao kwani kwa dau lako dogo tuu unaweza kutimiza ndoto zako kwani Aviator huchezwa kuanzia dau la shilingi 200.

Huku ukiendelea kujibweda na mchezo huu wa AVIATOR, kumbuka pia kucheza JACKPOT kubwa ambayo imekuja na shilingi Milioni Mia Mbili, (200,000,000) kwa dau la shilingi 1000 tu unabashiri mechi zako 13 na ukipata zote pesa hiyo yote ni yako na unaweza kutimiza ndoto zako ukiwa na Meridianbet pekee. Na hii ni kwa wateja wote wanaoutumia APP pamoja na kitochi yani USSD ambao watapiga *149*10# kubashiri sasa.

SHERIA ZA MCHEZO HUU

Kama unataka kushiriki kwenye promosheni hii ya Aviator ni rahisi jisajili sasa na Meridianbet au kama tayari umejisajili haina haja ya kurudia tena kwanza, Pia promosheni hii ni kwaajili ya wale wataokuwa wamejisajili kwenye akaunti ya Meridianbet.

JINSI YA KUPATA BETI ZA BURE

Basi ukiwa tayari umeenda kwenye michezo ya kasino na kubonyeza Aviator na pale ambapo unacheza ndipo unaweza kupata beti za bure ambapo mvua za beti za bure hutokea kila siku angalau mara 20 kwa siku kwa wachezaji 10.

Na kila beti ya bure inapotokea, wachezaji 10 wa kwanza ambao watabonyeza kitufe cha “CLAIM” ambacho hicho ndicho humaanisha kuwa unahitaji beti za bure, basi utapata beti hizo.

Na hapo Meridianbet wanakuambia hivi hizo “free bet” ama beti za bure zina thamani ya shilingi 500 huku beti hizo hukaa kwa dakika 10 pekee hivyo mchezaji anahitajika kuzitumia haraka iwezekanavyo kabla hazijapotea. Baada ya hapo akishinda anaweza kutoa pesa yake ambapo zitafikia ODDS ya 1.95.

Hivyo mteja wa Meridianbet ukiwa unawaza wapi utapa ofa nzuri kama hizi jibu ni moja tuu napo ni Meridianbet ingia sasa na uingie kwenye promosheni hii ya Aviator ambayo imebaki na siku chache tuu imalizike.

Kumbuka kuwa masharti na vigezo lazima vifuatwe ili usije kukosa beti za bure zitolewazo hapa. Pia kumbuka Meridianbet wanayo haki ya kuondoa promosheni hii na kubadilisha sheria muda wowote.

UTAPIGAJE MKWANJA NDANI YA AVIATOR?

Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya mchezo huu wa Aviator na namna ya kupiga mkwanja. Kitu ni kimoja tuu angalia pembeni juu kulia utaona michezo iliyopita jinsi ambavyo inaeda hivyo inakuwa rahisi kwako kujua kama mzunguko huu ubeti au laa.

Kitu cha pili cha kuzingatia ni kama umebeti sehemu zote mbili na mzunguko unahisi utakuwa ni mrefu unaweza ukacash out beti moja na ukaacha nyingine iendelee ili hata kama ndege ikiianguka unakuwa umepata beti mojawapo.

Kitu cha tatu ambacho ni njia ya kukupatia pesa kwenye Aviator, ni kuzingatia dau kutokana na pesa uliyonayo, weka pesa kidogo dogo kwanza huku ukiangali mizunguko ya nyuma ndipo hapo baadae ukishapata pesa nyingi unaweza ukaongeza dau lkao kwani Meridianbet wamekurahisishia kwa kukuwekea dau la shilingi 200.

Kitu cha nne ni kuwa makini na uharaka wa “kucash out” kwani kindege huanguka kwa haraka pia hivyo ndugu mteja wa Meridinabet ukicheza Aviator unaweza kukusanya maokoto ya maana sana.

Meridianbet inakupa kile ambacho unakitaka wewe, unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako sasa na uanze kucheza Aviator mchezo ambao umekuwa pendwa sana kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad