Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam
Jaishankar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 8
Julai, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe.
Subrahmanyam Jaishankar aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 8 Julai, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam Jaishankar mara baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi, Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 8 Julai, 2023.
No comments:
Post a Comment