Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Obedi Laiser akizungumza wakati wa hafla ya kuutambulisha Mpango mpya ya benki hiyo uitwao ' Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya nyengine' jijini Dar es Salaam jana ukiwa na lengo la kuliona Bara la Afrika likipata uwezo wa kutatua changamoto za kiuchumi na kijamii.
Mkuu
wa Kitengo cha Rasilimali Watu wa Benki ya Absa, Patrick Foya
akizungumza wakati wa hafla ya kutambulisha Mpango mpya wa benki uitwao
'Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya nyengine'
jijini Dar es Salaam jana Ukiwa na lengo la kuliona Bara la Afrika
likipata uwezo wa kutatua changamoto zake za kiuchumi na kijamii.
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mwasiliano wa wa Benki ya Absa, Aron
Luhanga akizungumza wakati wa hafla ya kutambulisha mpango mpya wa benki
hiyo uitwao ' Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya
nyengine' jijini Dar es Salaam jana, ukiwa na lengo la kuliona Bara la
Afrika likipata uwezo wa kutatua changamoto zake za kiuchumi na kijamii. Mkurugenzi
wa Mikopo wa Benki ya Absa, Genade Mzee akizungumza wakati wa hafla ya
kuutambulisha mpango mpya wa benki uitwao 'Tunaiwezesha Afrika ya kesho
pamoja, hatua moja baada ya nyengine' jijini Dar es Salaam jana, ukiwa
na lengo la kuliona Bara la Afrika likipata uwezo wa kutatua changamoto
zake za kiuchumi na kijamii. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Absa Tanzania kutoka jijini na mikoani wakiwa katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam Jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Absa Tanzania wakihudhuria hafla hiyo jijini Dar es Salaam Jana.
Mkuu
wa Uendeshaji wa Matawi ya Benki ya Absa, Mwilongo Irene Msungu
akizungumza wakati wa hafla ya kuutambulisha mpango mpya wa benki hiyo
uitwao ' Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya
nyengine' jijini Dar es Salaam jana, ukiwa na lengo la kuliona Bara la
Afrika likipata uwezo wa kutatua changamoto zake za kiuchumi na
kijamii.
Home
HABARI
Benki ya Absa yatambulisha Mpango mpya uitwao 'Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya nyengine' kuiwezesha Afrika kutatua changamoto zake za kiuchumi na kijamii.
Benki ya Absa yatambulisha Mpango mpya uitwao 'Tunaiwezesha Afrika ya kesho pamoja, hatua moja baada ya nyengine' kuiwezesha Afrika kutatua changamoto zake za kiuchumi na kijamii.
Share This
Tags
# HABARI
Share This
Jiachie Blog
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.
No comments:
Post a Comment