RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Hospitali Mnazi MmojaJijini Zanzibar akiwa katika ziara yake ya kushtukiza leo 18/11/2020, kuangalia hali halisi ya Hospitali hiyo na (kulia kwa Rais) Dk. Khamis Mustafa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpa pole mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wagonjwa wa ajali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Ndg. Nassopr Mohammed Khatib alipotembelea wodiu hiyo wakati wa ziara yake katika hospitali hiyo leo 18/11/2020.
No comments:
Post a Comment