MAHAKAMA
ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema leo imekataa kupokea msokoto na vipisi
viwili vya bangi vilivyotolewa na upande wa mashtaka kama vielelezo vya
ushahidi dhidi ya tuhuma za matumizi ya dawa za kulevya imayomkabili
Wema Sepetu na wenzake.
Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu,Thomas Simba ambaye amesema mahakama haiwezi kupokea vielelezo hivyo kwa sababu vina kasoro.
Akitoa uamuzi wake amesema anakubaliana na hoja zilizotolewa na upande wa mashtaka kwamba msokoto wa bangi na vipisi hivyo vina kasoro kwa kuwa shahidi hakuvifafanua mahakamani.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi September 12/2017.

Msanii
wa Filamu hapa nchini na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu akiwa na
Wakili wake Peter Kibatara wakiingia katika mahakama ya hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar es Salaam kwaajili ya kusikiliza mashtaka yanayo
mkabili ya kutuhumiwa kutumia dawa za kulevya.
Msanii
wa Filamu hapa nchini na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu akiwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akisubiri kusomewa mashtaka
yanayomkabili jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Wakili Peter Kibatara
na Kushoto ni Mama wa Wema Sepetu.
Msanii
wa Filamu hapa nchini na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu akiwa na
wafuasi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
leo wakati wakisubiri kusomewa Mashtaka yanayomkabili.
Msanii
wa Filamu hapa nchini na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu akiwa nche ya
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo mara baada ya
kusomewa mashtaka yanayo Mkabiri.
Msanii
wa Filamu hapa nchini na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu akiwa na
wakili wake Peter Kibatara wakiwa nje ya Mahakama ja Hakimu Mkazi Kisutu
jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
No comments:
Post a Comment