jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

VODACOM TANZANIA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI

Share This

Baadhi ya maafisa waandamizi wa Vodacom Tanzania,wakiwa wamebeba keki tayari kwa kuwagawia wateja  na wafanyakazi wa kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya kufurahia kwa pamoja kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.001.CUSTOMER+CARE
 Afisa Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare akiongea na baadhi ya wateja waliofika kupata huduma mbalimbali katika duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
002.CUSTOMER+CARE
 Baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania waliofika kupata huduma mbalimbali katika duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam leo wakichukua keki kutoka kwa Afisa Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare(kushoto) ikiwa ni sehemu ya kufurahia kwa pamoja kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
003.CUSTOMER+CARE
 Mmoja wa wateja wa Vodacom Tanzania aliyefika kupata huduma mbalimbali katika duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam leo akifurahi jambo wakati alipokuwa akipewa keki  na Afisa Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa kampuni hiyo,Harriet Lwakatare(kulia) ikiwa ni sehemu ya kufurahia kwa pamoja kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad