jlogo

Karibuni Jamvini Wanajamii

topads

Post Top Ad

demo-image

WAZIRI MKUU, MAJALIWA AFUTURISHA DODOMA.

Share This
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu Mwenyekiti Mstaafu, John Malecela  katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake mjini Dodoma Juni 16, 2016.
IMGS1684
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake mjini Dodoma Juni 15, 2016.IMGS1638
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake mjini Dodoma Juni 15, 2016. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dodoma, Alhaj Adam Kimbisa na Wapili kushoto ni Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ahmed Said.Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na mazingira, January Makamba.
IMGS1702
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba katika futari aliyoianda kwenye makazi yake mjini Dodoma Juni 15, 2016.

IMGS1709
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson katika fuatari aliyondaa kwenye makazi kake mjini Dodoma Juni 15, 2016.
IMGS1741

IMGS1800

IMGS1801

IMGS1807

IMGS1816

IMGS1872

IMGS1875
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad